Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 86

Year: 2012

Mitandao ya Kijamii Kumtafuta Bingwa wa Kero kwa Wateja

Posted on: November 10, 2012November 10, 2012 - jomushi
Mitandao ya Kijamii Kumtafuta Bingwa wa Kero kwa Wateja

JUMUIYA ya watumiaji wa huduma mbalimbali nchini kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter imezindua rasmi shindano la kusaka kampuni zinazotoa huduma na bidhaa…

Continue Reading....

Nyika Ampinga Spika Makinda, Ni Kuhusu Tuhuma za Rushwa Dhidi ya Wabunge

Posted on: November 10, 2012 - jomushi
Nyika Ampinga Spika Makinda, Ni Kuhusu Tuhuma za Rushwa Dhidi ya Wabunge

IFUATAYO ni kauli ya Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), John Mnyika aliyoitoa kutofautiana na Spika Anne Makinda…! “Sijakubaliana na maamuzi ya leo (jana) Spika kuhusu tuhuma…

Continue Reading....

Ashanti United Ilala Yaendeleza Ubabe Ligi Daraja la Kwanza

Posted on: November 10, 2012 - jomushi
Ashanti United Ilala Yaendeleza Ubabe Ligi Daraja la Kwanza

TIMU ya Ashanti United Ilala ya Dar es Salaam jana iliendeleza wimbi la ushindi baada ya kuifunga Tesema ya Temeke bao 1-0 kwenye mchezo wa…

Continue Reading....

TPBO Yajitoa Mpambano wa Ngumi Kati ya Selemani Saidi na Caled Ameinda, PST Waingilia Wasema Mpambano Utafanyika

Posted on: November 10, 2012 - jomushi
TPBO Yajitoa Mpambano wa Ngumi Kati ya Selemani Saidi na Caled Ameinda, PST Waingilia Wasema Mpambano Utafanyika

Na Mwandishi Wetu OGANAIZESHENI ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBO) imetangaza kujitoa katika mpambano wa ngumi kati ya mabondia Selemani Saidi na Caled Ameinda baada…

Continue Reading....

Rais wa Zanzibar, Dk. Shein Afanya Mazungumzo na Balozi Mdogo wa India Zanzibar

Posted on: November 10, 2012 - jomushi
Rais wa Zanzibar, Dk. Shein Afanya Mazungumzo na Balozi Mdogo wa India Zanzibar

Continue Reading....

Makinda Atoa Ripoti ya Tuhuma za Rushwa kwa Wabunge Kamati ya Nishati na Madini

Posted on: November 10, 2012 - jomushi
Makinda Atoa Ripoti ya Tuhuma za Rushwa kwa Wabunge Kamati ya Nishati na Madini

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA Tel: +255 22 21122065/7 Fax No. +255 22 2112538 Email: tanzparl@parliament.go.tz Ofisi ya Bunge S.L.P. 941 DODOMA…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari