Year: 2012
37 wauawa Sudan Kusini
WATU wapatao 37 wameuawa nchini Sudan Kusini baada ya kushambuliwa kwa risasi kwenye mkutano wa amani unaolenga kumaliza ghasia katika eneo hilo, wamesema maofisa nchini…
Continue Reading....John Terry avuliwa unahodha wa England
CHAMA cha Soka nchini Uingereza kimemvua unahodha mchezaji John Terry wa timu ya Taifa ya England. Chama hicho cha soka kinasema Terry hapaswi kushika unahodha…
Continue Reading....Wizara ya Ujenzi yakanusha malipo hewa mkandarasi
KATIKA gazeti la Raia Mwema la tarehe 1 Februari 2012 iliandikwa taarifa na Mwandishi aliyejitambulisha kwa jina la Mwandishi wetu akidai kuwepo kwa malipo hewa…
Continue Reading....