Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) Sudi Madega (katikati) akitoa tamko leo jijini Dar es Salaam la kusitishwa kwa…
Continue Reading....Year: 2012
Shahidi asema CCM imehusika kufungua kesi
Na Mwandishi Wetu, Arusha SHAHIDI wa 13 Gabriel Maleko katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godless Lema (CHADEMA) ameieleza…
Continue Reading....Wakulima walioathirika na mvua wapewa mbegu Mbeya
HALMASHAURI ya Wilaya ya Mbeya imetoa msaada kwa wananchi walioathirika na mvua zilizonyesha na kuharibu mazao katika kijiji cha Nsambya Kata ya Iwindi iliyopo katika…
Continue Reading....Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kwa Watanzania Februari 29, 2012
Ndugu Wananchi, NAOMBA sote tumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma kwa kutuwezesha kuzungumza tena mwisho wa mwezi huu. Katika mwezi tunaoumaliza leo taifa letu lilipata…
Continue Reading....Chama cha ANC Afrika Kusini chamtimua Malema
CHAMA tawala cha ANC nchini Afrika Kusini kimemtimua rasmi kiongozi wa Jumuiya ya vijana katika chama hicho, Julius Malema, baada ya rufaa ya kupinga uamuzi…
Continue Reading....Hatimaye mtoto wa marehemu Sumari ashinda tena kura za maoni CCM Arumeru Mashariki
Na Mwandishi wa dev.kisakuzi.com, Arumeru MTOTO wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, marehemu Jeremiah Sumari (CCM), Sioi Sumari leo ameibuka tena mshindi katika…
Continue Reading....