MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Yanga na Azam lililochezwa Machi 10 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam limeingiza sh. 72,731,000.…
Continue Reading....Year: 2012
Milipuko yauwa wasafiri Nairobi
WATU watano wameuwawa na wengi zaidi ya 40 kujeruhiwa kwenye shambulio katika Kituo cha Basi cha Machakos mjini Nairobi, Kenya. Taarifa zinasema kuwa maguruneti kama…
Continue Reading....Pinda ataka ujenzi wa kituo cha mikutano cha Baba wa Taifa ukamilishwe haraka
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amezitaka kampuni na taasisi zinazohusika na kutoa huduma muhimu katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl. Julius Kambarage Nyerere ziharakishe…
Continue Reading....Waziri azindua akaunti ya Twiga Stars kupitia Tigo Pesa
NAIBU Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara leo, Machi 10 mwaka huu amechangia sh. milioni moja kwenye uzinduzi wa akaunti ya…
Continue Reading....Bunge lakabidhiwa nyumba ya Spika
Muonekano wa nyumba hiyo kwa mbele. Jengo hili ambalo litakuwa makazi ya Spika yeyote atakayeliongoza Bunge la Tanzania lilianza kujengwa Disemba 2009 na limegharimu takriban…
Continue Reading....