Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 404

Year: 2012

Jenerali Mwita Kyaro afariki, JK amtumia rambirambi

Posted on: April 10, 2012 - jomushi
Jenerali Mwita Kyaro afariki, JK amtumia rambirambi

Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jakaya Kikwete amemtumia Mkuu wa…

Continue Reading....

Muda wa kusitisha mapigano wamalizika Syria

Posted on: April 10, 2012 - jomushi
Muda wa kusitisha mapigano wamalizika Syria

KUANZIA leo saa 11 alfajiri, umemalizika ule muda wa kuweka chini silaha nchini Syria, kwa mujibu wa mpango wa mjumbe maalum Kofi Annan. Idadi ya…

Continue Reading....

Kanumba alitabiri ‘kifo’ chake

Posted on: April 10, 2012 - jomushi
Kanumba alitabiri ‘kifo’ chake

Joachim Mushi MSANII maarufu wa filamu, Steven Kanumba aliyezikwa leo jijini Dar es Salaam katika makaburi ya Kinondoni inasadikika kuwa alitabiri kifo chake siku kadhaa…

Continue Reading....

Wananchi waanza kuunusuru Mlima Kilimanjaro

Posted on: April 10, 2012April 10, 2012 - jomushi
Wananchi waanza kuunusuru Mlima Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu, dev.kisakuzi.com-Moshi MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama amesema mkoa huo umeanza kampeni ya upandaji miti katika maeneo anuai ikiwemo kwenye vyanzo…

Continue Reading....

Madaktari wachunguza mwili wa Kanumba

Posted on: April 10, 2012April 10, 2012 - Rungwe Jr.
Madaktari wachunguza mwili wa Kanumba

Jopo la madaktari jana lilianza kuuchunguza mwili wa aliyekuwa mcheza filamu maarufu nchini, Steven Kanumba, kwa lengo la kubaini sababu zilizosababisha kifo chake kilichotokea Jumamosi…

Continue Reading....

Kocha Poulsen ataja kikosi cha Ngorongoro Heroes

Posted on: April 10, 2012April 10, 2012 - jomushi
Kocha Poulsen ataja kikosi cha Ngorongoro Heroes

Na Mwandishi Wetu KOCHA Kim Poulsen, leo, Aprili 10 mwaka huu ametaja kikosi cha wachezaji 21 wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari