Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 364

Year: 2012

Jeshi lasitisha mapigano DRC

Posted on: May 8, 2012 - jomushi
Jeshi lasitisha mapigano DRC

JESHI limetangaza kusitisha mapigano na kuwapa waasi hadi siku ya Jumatano kujisalimisha. Jeshi nchini DRC linasema limedhibiti eneo zima la Masisi kutoka kwa waasi watiifu…

Continue Reading....

Dk. Shein atembelea miradi ya Maendeleo Unguja

Posted on: May 8, 2012 - jomushi
Dk. Shein atembelea miradi ya Maendeleo Unguja

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA ZA ZIARA YA DK. SHEIN UNGUJA Afia Tawala wa Mkoa wa Kusini Unguja Sabri Mohamed,akisoma taarifa ya Mkoa wa Kusini Unguja,mbele…

Continue Reading....

Mkapa asimama kortini kumtetea Profesa Mahalu

Posted on: May 8, 2012May 8, 2012 - jomushi

ASEMA YEYE NDIYE ALIYEAGIZA JENGO LINUNULIWE, TARATIBU ZILIFUATWA, ASEMA ALISHANGAA KUSIKIA AMESHTAKIWA RAIS Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa jana alipanda kizimbani kumtetea Balozi…

Continue Reading....

Umri wa Lulu waibua mvutano kortini

Posted on: May 8, 2012 - jomushi
Umri wa Lulu waibua mvutano kortini

Umri wa Lulu waibua mvutano kortini UMRI wa msanii wa filamu, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu anayekabiliwa na mashtaka ya mauaji ya msanii mwenzake, Steven…

Continue Reading....

Elimu bora sio majengo pekee – John Mnyika

Posted on: May 8, 2012 - jomushi
Elimu bora sio majengo pekee – John Mnyika

ELIMU bora sio majengo pekee bali ni pamoja na walimu bora na mazingira bora ya kusomea na kujifunzia yenye vifaa vya kujifunzia na vitabu vya…

Continue Reading....

Ikulu yalionya Gazeti la Dira ya Mtanzania

Posted on: May 7, 2012 - jomushi
Ikulu yalionya Gazeti la Dira ya Mtanzania

*Ni kwa kudaiwa kulitumia vibaya jina la familia ya JK GAZETI la kila wiki la Dira ya Mtanzania toleo la leo, Jumatatu, Mei 7, mwaka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari