Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 363

Year: 2012

Ewura mpoooo! Hiki pia ni kituo cha mafuta

Posted on: May 8, 2012 - jomushi

Continue Reading....

Wanahabari watakiwa mstari wa mbele kuhamasisha uwekezaji

Posted on: May 8, 2012 - jomushi
Wanahabari watakiwa mstari wa mbele kuhamasisha uwekezaji

WAANDISHI wa Habari wametakiwa kuwa msatari wa mbele katika kuandika Habari za uhamasishaji juu ya umuhimu wa Uwekezaji hapa Nchini ili kuweza kuongezeka kwa ajira…

Continue Reading....

TFF yaipongeza Simba

Posted on: May 8, 2012 - jomushi
TFF yaipongeza Simba

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linaitakia kila la kheri timu ya Simba kwenye mechi yake ya marudiano ya Kombe la Shirikisho dhidi ya…

Continue Reading....

Twiga Stars kujipima kwa Zimbabwe

Posted on: May 8, 2012 - jomushi
Twiga Stars kujipima kwa Zimbabwe

TIMU ya Taifa ya wanawake (Twiga Stars) itacheza na Zimbabwe katika mchezo wa kirafiki utakaofanyika Mei 12 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es…

Continue Reading....

Ubakaji: Madaktari waeleza namna ya kutunza ushahidi

Posted on: May 8, 2012 - jomushi
Ubakaji: Madaktari waeleza namna ya kutunza ushahidi

MADAKTARI wamewatahadharisha kwamba mtu anayebakwa kamwe asioge au kubadilisha nguo kwa sababu kufanya hivyo kunapoteza ushahidi muhimu wa kumtia hatiani kisheria mtu aliyebaka. Wamesema mtu…

Continue Reading....

Kwacha yashuka thamani kwa 50%

Posted on: May 8, 2012May 8, 2012 - jomushi
Kwacha yashuka thamani kwa 50%

WATU nchini Malawi, wamekuwa wakikimbilia kununua bidhaa muhimu , kufuatia hofu ya kupanda kwa bei ya chakula baada ya benki kuu kushusha thamani ya sarafu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari