Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 334

Year: 2012

Hakuna dalili ya makubaliano Iran na IAEA

Posted on: May 23, 2012May 23, 2012 - jomushi
Hakuna dalili ya makubaliano Iran na IAEA

MAZUNGUMZO baina ya Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki IAEA Yukia Amano na Viongozi wa Iran, kuhusu mpango wa nyuklia wa nchi…

Continue Reading....

Uchaguzi huru kunafanyika Misri

Posted on: May 23, 2012May 23, 2012 - jomushi
Uchaguzi huru kunafanyika Misri

RAIS wa Misri wanajianda kushiriki katika uchaguzi wa kwanza huru tangu mapinduzi ya kiraia yaliomuondoa Rais Hosni Mubarak mamlakani miezi 15 iliopita. Watu milioni 50…

Continue Reading....

Makala kutatua mgogoro wa ardhi kinyenze

Posted on: May 23, 2012 - jomushi
Makala kutatua mgogoro wa ardhi kinyenze

Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ( aliyesimama na kunyosha mkono juu) akisisitiza jambo juu ya namna ya kutafuta muakafa ili kumalizwa kwa mgogoro…

Continue Reading....

Kamati ya Miss Tanzania yawatembelea warembo Redds Miss Kurasini

Posted on: May 22, 2012 - jomushi
Kamati ya Miss Tanzania yawatembelea warembo Redds Miss Kurasini

Hashim Lundenga aliwataka warembo hao kujiheshimu maana urembo ni kazi kama zilivyo kazi nyingine na warembo wengi wanaojiheshimu na kuwa na tabia njema katika jamii…

Continue Reading....

Prof. Mark Mwandosya aapishwa na JK

Posted on: May 22, 2012 - jomushi
Prof. Mark Mwandosya aapishwa na JK

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Mei 22, 2012 amemwapisha Prof. Mark J. Mwandosya kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi…

Continue Reading....

Msondongoma kuwarusha mashabiki uzinduzi wa Emirete Masasi

Posted on: May 22, 2012May 22, 2012 - jomushi
Msondongoma kuwarusha mashabiki uzinduzi wa Emirete Masasi

Na Mwandishi Wetu BENDI Kongwe ya Msondo ngoma ya jijini Dar es Salaam inatalajia kufanya uzinduzi wa ukumbi mpya wa kisasa wa burudani wa Emirate…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari