Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 331

Year: 2012

Hukumu ya Mnyika leo

Posted on: May 24, 2012 - Rungwe Jr.
Hukumu ya Mnyika leo

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kupinga ushindi wa Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), John Mnyika,…

Continue Reading....

Sekta binafsi, Marekani kuendeleza kilimo

Posted on: May 24, 2012May 24, 2012 - Rungwe Jr.
Sekta binafsi, Marekani kuendeleza kilimo

Sekta binafsi nchini kwa kushirikiana na watu wa Marekani kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID) wamekubalina kuendeleza ukuaji wa kilimo nchini kwa…

Continue Reading....

Tunalaani mauaji ya wazee kwa imani za kishirikina

Posted on: May 24, 2012 - Rungwe Jr.
Tunalaani mauaji ya wazee kwa imani za kishirikina

Tangu jana tumekuwa tunaadika habari maalum kuhusu mauaji ya vikongwe mkoani Geita. Habari hiyo imejikita katika tukio la hivi karibuni kabisa la Mei 10, mwaka…

Continue Reading....

Didier Drogba athibitisha kuondoka Chelsea

Posted on: May 24, 2012 - jomushi
Didier Drogba athibitisha kuondoka Chelsea

HATIMAYE athibitisha ataondoka Chelsea Mshambulizi Didier Drogba ataihama timu ya Chelsea ya England msimu huu wa joto, baada ya kukichezea klabu kwa muda wa miaka…

Continue Reading....

ICC”Viongozi wa Afrika msitishike na wababe wa kivita”

Posted on: May 24, 2012May 24, 2012 - jomushi
ICC”Viongozi wa Afrika msitishike na wababe wa kivita”

MWENDESHA mashtaka mkuu mpya katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC), Fatou Bensouda, amesema wababe wa kivita wanawatisha viongozi wanaojaribu kuwatia mbaroni. Bi…

Continue Reading....

Ngoma afrika kuwasindikiza wa-cameroon siku ya taifa lao

Posted on: May 24, 2012May 24, 2012 - jomushi
Ngoma afrika  kuwasindikiza wa-cameroon siku ya taifa lao

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya “Ngoma Africa Band” aka FFU, inatarajiwa kupanda jukwaani siku ya jumamosi mjini Stuttgart,Ujerumani kutumbuiza katika sherehe ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari