MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Dk. Mohammed Gharib Bilal amemwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano wa Maendeleo Endelevu Afrika unaolenga katika kujumuisha…
Continue Reading....Year: 2012
Tanzania yafanikiwa kupunguza Malale
Na Magreth Kinabo wa MAELEZO DSM TANZANIA imefanikiwa kupunguza idadi ya watu wanaougua ugonjwa wa Malale kutoka wagonjwa 380 mwaka 1996 hadi kufikia wagonjwa wawili…
Continue Reading....JK atuma rambirambi kifo cha Dk Kyaruzi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Fabian Massawe kuomboleza kifo cha…
Continue Reading....Mnyika afunika Dar es Salaam
AMBWAGA TENA MGOMBEA CCM, MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI MADAI YA NGH’UMBI NDEREMO na vifijo vya wapenzi na Chadema, jana viliitikisa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda…
Continue Reading....Hatimaye Lyod Nchunga wa Yanga ajiuzulu
Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Lyod Nchunga ametangaza kujiuzulu rasmi kwenye nafasi hiyo. Nchunga ametangaza uamuzi huo leo alipokuwa akizungumza na vyombo…
Continue Reading....Tuondoe mitizamo hasi juu ya watu wenye ulemavu
Na Mwandishi Wetu, Moshi JAMII imetakiwa kuondokana na mitazamo potofu juu ya watu wenye ulemavu, kwamba kundi hilo haliwezi kujitegemea hata kama likiwezeshwa. Pamoja na…
Continue Reading....