Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 312

Year: 2012

Hali ya mazingira bado ni mbaya-JK

Posted on: June 6, 2012June 6, 2012 - jomushi
Hali ya mazingira bado ni mbaya-JK

Na mwandishi wetu Kilimanjaro SERIKALI imekiri kuwepo kwa uharibifu mkubwa wa Mazingira unaosababishwa na shughuli za binadamu,na kusema kuwa hali kwa sasa ni mbaya na…

Continue Reading....

Hotuba ya JK mwisho wa mwezi

Posted on: June 6, 2012June 6, 2012 - jomushi
Hotuba ya JK mwisho wa mwezi

Ndugu Wananchi, KAMA ilivyo ada, namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma, kwa kutujaalia uhai na kutuwezesha kumaliza mwezi Mei salama. Kwa kutumia utaratibu wetu wa…

Continue Reading....

Waasi wadhibiti uwanja wa ndege Libya

Posted on: June 5, 2012June 5, 2012 - jomushi
Waasi wadhibiti uwanja wa ndege Libya

KUNDI moja la wapiganaji wakiwa silaha kali wamedhibiti barabara ya ndege katika uwanja wa ndege jiji kuu la Tripoli, Libya. Waasi hao wamekuwa wakitaka kuachiliwa…

Continue Reading....

Viongozi wanne wa uamsho Zanzibar wajisalimisha kwa Jeshi la Polisi

Posted on: June 5, 2012June 5, 2012 - jomushi
Viongozi wanne wa uamsho Zanzibar wajisalimisha kwa Jeshi la Polisi

Na Mwandishi wa Jeshi la Polisi- Zanzibar SIKU moja tu baada ya Mhadhara wa Uamsho kusitishwa na Polisi, Viongozi wanne wa hilo waliohusika katika uchochezi…

Continue Reading....

Dk Shein awashukia Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Posted on: June 5, 2012June 5, 2012 - jomushi
Dk Shein awashukia  Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora,…

Continue Reading....

JK akutana na Wabunge wa EA

Posted on: June 5, 2012June 5, 2012 - jomushi
JK akutana na Wabunge wa EA

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho kikwete, amekutana na Wabunge wa Tanzania katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashari kijijini Arusha.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari