Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 311

Year: 2012

Ardhi ikimilikiwa na watu binafsi wanyonge tutataabika -Nape

Posted on: June 6, 2012 - jomushi
Ardhi ikimilikiwa na watu binafsi wanyonge  tutataabika -Nape

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kusiistiza juu ya msimamo wake wa ardhi kuendelea kumilikiwa na serikali kwa maslahi ya taifa zima. Msimamo huo ulielezwa na…

Continue Reading....

Warembo wa Miss Dar Intercollege 2012 watambulishwa

Posted on: June 6, 2012 - jomushi
Warembo wa Miss Dar Intercollege 2012 watambulishwa

WAKIWA wamejipanga mbele ya wadau na wadhamini katika uzinduzi wa bendi ya SkyLight iliyofanyika Mafian Lounge iliyopo Masaki, bendi hiyo inamilikiwa na mmoja wa wadhamini…

Continue Reading....

Maandalizi ya mchakato cha BSS kuanzia Juni 15 Dodoma.

Posted on: June 6, 2012June 6, 2012 - jomushi
Maandalizi ya mchakato cha BSS  kuanzia Juni 15 Dodoma.

Mkurugenzi wa Benchmarck Production Maadam Ritah Paulsen akizungumza katika mahojiano na Dida wa Mchops hayupo pichani mtangazaji wa Times Radio wakati alipozungumzia maadalizi ya mchakato…

Continue Reading....

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wala Kiapo

Posted on: June 6, 2012June 6, 2012 - jomushi
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wala Kiapo

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo wameapishwa rasmi kushika madaraka hayo huku Tanzania ikiwa na Wawakilishi tisa katika Bunge hulo. Wabunge hao waliapa…

Continue Reading....

Siku ya mazingira Moshi JK atoa maagizo Saba

Posted on: June 6, 2012June 6, 2012 - jomushi
Siku ya mazingira Moshi JK atoa maagizo Saba

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa maagizo thabiti saba ya kuhifadhi mazingira nchini akisema “tusipokuwa makini na kuchukua hatua…

Continue Reading....

Nape aiponda operesheni “vua gamba vaa gwanda”

Posted on: June 6, 2012June 6, 2012 - jomushi
Nape aiponda operesheni “vua gamba vaa gwanda”

Asema waliowashauri kuibuni wamewaingiza ‘mkenge’Movement for Change’ yao nayo ni ya kuchangisha fedha si kuleta mageuzi itawachukua miaka mingi kuwa chama cha kweli cha siasa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari