Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye ameeleza kusikitishwa kwake na kupoteza umaarufu wa soka la Tanzania kwa sasa ukilinganisha na miaka ya 1970. Sumaye…
Continue Reading....Year: 2012
Magereza wamuaga kamishna Nanyaro
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa na naibu wake Mhe Pereira Silima (wa kwanza kushoto) na Jaji Kiongozi Mhe. Fakihi…
Continue Reading....Pinda aitaka ALAT ikunjue makucha
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameitaka Jumuiya ya Serikali za Mitaa (ALAT) iache kukaa kimya na badala yake ikemee uozo unaofanywa na watendaji kwenye Serikali za…
Continue Reading....Mahakama ya Afrika Mashariki kujikita katika kesi za jinai
MAMLAKA ya Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) yatapanuliwa katika siku za usoni kushughulikia pia kesi za makosa ya jinai zikiwemo za mauaji ya kimbari na…
Continue Reading....Mara yakiona cha moto Copa Cocacola
TIMU ya Mara imeuanza vibaya mwezi Julai baada ya leo asubuhi kupata kipigo cha mabao 5-0 mbele ya Dodoma katika mechi ya michuano ya Copa…
Continue Reading....Mahodha Stars wang’ara tuzo za Vodacom
NAHODHA wa Taifa Stars, Juma Kaseja na msaidizi wake Aggrey Morris wameng’ara katika hafla ya kampuni ya Vodacom kukabidhi zawadi kwa wachezaji, klabu, waamuzi na…
Continue Reading....