Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 137

Year: 2012

Wabunge Waibana Serikali, Ni Kuhusu Kuzagaa kwa ARVs Feki

Posted on: October 11, 2012 - jomushi
Wabunge Waibana Serikali, Ni Kuhusu Kuzagaa kwa ARVs Feki

Na Magreth Kinabo, Maelezo KAMATI ya Bunge inayoshughulikia masuala ya Ukimwi imeishauri Serikali kutoa tamko la kuelezea ni hatua gani inaendelea kuchukua baada ya kusimamisha…

Continue Reading....

CHAVITA Mkuranga Waomba Kusaidiwa Kielimu

Posted on: October 11, 2012 - jomushi
CHAVITA Mkuranga Waomba Kusaidiwa Kielimu

Na Joachim Mushi, Mkuranga CHAMA cha Viziwi Wilaya ya Mkuranga (CHAVITA), kimeiomba Serikali na wadau wengine kuisaidia jamii hiyo ya walemavu iweze kupata fursa za…

Continue Reading....

Dk. Shein Apokea Ripoti ya Mv. Skagit, Ahaidi Kuchukua Hatua..!

Posted on: October 11, 2012 - jomushi
Dk. Shein Apokea Ripoti ya Mv. Skagit, Ahaidi Kuchukua Hatua..!

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amekabidhiwa ripoti ya kuzama kwa Meli ya…

Continue Reading....

Unguja Itakuwa na Umeme wa Uhakika – Dk. Shein

Posted on: October 11, 2012 - jomushi
Unguja Itakuwa na Umeme wa Uhakika – Dk. Shein

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuzinduliwa kwa ulazaji waya wa pili…

Continue Reading....

Makamu wa Rais Dk. Bilal Katika Mkutano wa Viongozi Nchi za Maziwa Makuu

Posted on: October 11, 2012 - jomushi
Makamu wa Rais Dk. Bilal Katika Mkutano wa Viongozi Nchi za Maziwa Makuu

Continue Reading....

Wagombea Sita Wawekewa Pingamizi TWFA

Posted on: October 11, 2012 - jomushi
Wagombea Sita Wawekewa Pingamizi TWFA

WAGOMBEA sita wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Chama cha Mpira wa Miguu wa Wanawake Tanzania (TWFA) wamewekewa pingamizi na wadau wa mchezo huo. Kwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari