Mwalimu Kibaso ambaye anafundisha masuala ya Sauti (Vocal) akiwapa mazoezi ya viungo vijana waliojiunga katika darasa la muziki linaloendeshwa na Tanzania House of Talent (THT)…
Continue Reading....Year: 2012
Warembo wa Redds Miss Tanzania 2012 Wachezea Nyoka Arusha
******** Warembo wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2012 walitembelea eneo la Utalii la ufugaji nyoka la mjini Arusha maarufu Arusha Snake Park na kujionea…
Continue Reading....Bara la Afrika Lafanikiwa Kupambana na Njaa
BARA la Afrika limekuwa na mafanikio makubwa katika kupambana na njaa kuliko nchi zingine katika Bara la Asia katika kipindi cha mwongo mmoja uliopita. Hali…
Continue Reading....ECAPBA Yatoa Kibali cha Pambano la Ngumi Kati ya Mashali na Sebayala
Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Ngumi za Kulipwa cha Afrika Mashariki na Kati (ECAPBA) kimetoa kibali kwa promota Selemani Seminyo cha kuandaa pambano la kugombea…
Continue Reading....