WAZIRI mmoja wa Kenya amekanusha kuwa anahusika na wizi wa gari moja la wizi ambalo amekutwa nalo. Waziri hiyo ambaye ni wa Serikali za Mitaa…
Continue Reading....Month: September 2012
‘FFU’ Ngoma Afrika Bandi kutumbuiza Afrika, Messe Bremen
BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya, Ngoma Africa Band a.k.a ‘FFU’ yenye maskani yake nchini Ujerumani,inatarajiwa kutumbuiza katika maonesho mengine makubwa siku ya…
Continue Reading....Waziri wa Viwanda na Biashara ziarani mkoani Tanga
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda anafanya ziara ya siku tatu mkoani Tanga ikiwa ni maalumu kutembelea Viwanda na kuangalia utendaji wake. Kwa…
Continue Reading....Mashambulizi ya kulipiza kisasi Kenya
TAKRIBANI watu 11 wa kabila la Pokomo wameuawa katika mashambulizi mapya ya kulipiza kisasi katika eneo la Tana River, Kusini Mashariki mwa nchi ya Kenya.…
Continue Reading....Waziri Mkuu mstaafu Sumaye awashukia Polisi
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuacha kutumia silaha za moto au nguvu ya ziada linapokabiliana na raia, badala yake litumie…
Continue Reading....