Na Shomari Binda Tarime SIKU moja baada ya kuteuliwa kwa wakuu wa Wilaya, madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime wamemkataa Mkuu wa Wilaya ya…
Continue Reading....Month: May 2012
Zimbabwe wachekelea kujipima na Twiga Stars
TIMU ya Taifa ya mpira wa miguu kwa wanawake ya Zimbabwe imefurahia kucheza mechi ya kirafiki na Tanzania (Twiga Stars) itakayofanyika Jumamosi ya Mei 12…
Continue Reading....Wizara ya Afya Zanzibar yaeleza mchakato wa kusaka hospitali ya rufaa
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar WIZARA ya Afya imeeleza hatua zilizofikiwa na zinazoendelea kuchukuliwa katika kutekeleza azma ya kuifanya hospitali kuu ya Mnazi Mmoja kuwa…
Continue Reading....Yahitajika mikakati ya kuepuka ndoa za kitapeli
Na Mwandishi Wetu VIONGOZI wa makanisa wanapaswa kubuni mbinu za kubaini waumini walio katika ndoa ambao wanadanganya na kufunga ndoa nyingine kwa siri, hali inayohatarisha…
Continue Reading....Taarifa za sensa ya watu na makazi 2012 ni siri
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiangalia ramani ya Tanzania inayoonyesha maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya sensa ya watu na makazi huku akiwataka wananchi…
Continue Reading....Tanzania yaihitaji muda kunufaika na Mtangamano wa EAC-Makinda
Na James Gashumba, EANA-Kigali SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda amesema Tanzania inahitaji muda zaidi wa kujipanga ili kujikita kikamilifu katika mtangamano wa Jumuiya…
Continue Reading....