Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • May
  • Page 24

Month: May 2012

CCM wameteka Mchakato wa Katiba-Chadema

Posted on: May 19, 2012 - Rungwe Jr.
CCM wameteka Mchakato wa Katiba-Chadema

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeijia juu Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) kwa kitendo cha kuteka mchakato wa katiba mpya kabla ya…

Continue Reading....

CCM champuuza Mbunge Shibuda

Posted on: May 19, 2012 - Rungwe Jr.
CCM champuuza Mbunge Shibuda

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempuuza Mbunge wa Maswa Magharibi (Chadema), John Shibuda, kufuatia kauli yake ya kudai kuwa atagombea urais kupitia Chadema katika uchaguzi mkuu…

Continue Reading....

Malawi kubatilisha sheria ya mapenzi

Posted on: May 19, 2012May 19, 2012 - jomushi
Malawi kubatilisha sheria ya mapenzi

RAIS wa Malawi,Joyce Banda amesema kuwa anataka nchi hiyo ibatilishe sheria inayoharamisha ndoa za jinsia moja na kuifanya nchi ya kwanza ya kiafrika kufanya hivyo…

Continue Reading....

Virginia Mokiri kuibeba redds Higher learning 2012 Dodoma

Posted on: May 19, 2012May 19, 2012 - jomushi
Virginia Mokiri kuibeba redds Higher learning 2012 Dodoma

Redds Miss Higher learning 2011 Jackline Kinabo (aliyekaa) ambae amemaliza muda wake akiwa tayari kumvalisha taji Mshindi wa Miss Redds Higher Learning 2012 katika ukumbi…

Continue Reading....

Mabondia chipukizi waahidi mapinduzi katika masumbwi

Posted on: May 19, 2012May 19, 2012 - jomushi
Mabondia chipukizi waahidi mapinduzi katika masumbwi

BAADHI ya mabondia chipukizi wa bigright boxing na mwalimu wao IBRAHIM KAMWE wakimalizia mazoezi yao ya mwishomwisho kwa ajili ya mpambano wa ngumi unaotegemewa kufanyika…

Continue Reading....

Ikulu yampiga stop mmiliki wa Moses Nursery

Posted on: May 18, 2012 - jomushi
Ikulu yampiga stop mmiliki wa Moses Nursery

SIKU chache zilizopita, Mkurugenzi wa Shule ya Chekechea ya Moses Nursery ya Yombo Vituka, Dar es Salaam, Moses Kabambara amekuwa anasambaza kadi kwa watu binafsi,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari