Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • April
  • Page 35

Month: April 2012

Mahakama yamvua Ubunge Godbless Lema ubunge

Posted on: April 6, 2012 - jomushi
Mahakama yamvua Ubunge Godbless Lema ubunge

Na Mwandishi Wetu, dev.kisakuzi.com, Arusha HATIMAYE Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo imempoka nafasi ya ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, aliyekuwa mbunge wa jimbo…

Continue Reading....

International African Festival Tubingen 2012, it’s time for a big step!

Posted on: April 5, 2012 - jomushi
International African Festival Tubingen 2012, it’s time for a big step!

THE festival organized by Africans for the African Diaspora in Africa; Europe and the world, from the 9. – 12. August 2012 – 4days nonstop!…

Continue Reading....

Msondo Ngoma yatangaza ratiba ya Pasaka

Posted on: April 5, 2012April 5, 2012 - jomushi
Msondo Ngoma yatangaza ratiba ya Pasaka

BENDI kongwe ya muziki wa dansi Tanzania, Msondo Ngoma ‘Baba ya Muziki’ imetoa ratiba yao katika kusherekea Sikukuu ya Pasaka ambapo wamesema kuwa wataanza kutoa…

Continue Reading....

Mnyika azungumzia kutimuliwa kwa wafanyabiashara Ubungo

Posted on: April 5, 2012 - jomushi
Mnyika azungumzia kutimuliwa kwa wafanyabiashara Ubungo

BAADA ya kuwasikiliza wafanyabiashara ndogondogo zaidi ya 500 walioondolewa kwenye kata ya Ubungo niliwaeleza kuwa kazi ya mbunge ni kuwakilisha wananchi, kuisimamia serikali na kutunga…

Continue Reading....

Breaking Newzz: Chadema yanyang’anywa Ubunge Arusha Mjini

Posted on: April 5, 2012April 5, 2012 - jomushi
Breaking Newzz: Chadema yanyang’anywa Ubunge Arusha Mjini

HABARI ambazo zimetufikia hivi punde kutoka Mjini Arusha ni kwamba Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imeipoka Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini Chama cha Demokrasia…

Continue Reading....

Tanzania mwenyeji mkutano wa kimataifa

Posted on: April 5, 2012 - jomushi
Tanzania mwenyeji mkutano wa kimataifa

Na Magreth Kinabo – MAELEZO TANZANIA inatarajia kuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa nchi zinazotekeleza Mpango wa Uhaulishaji Fedha kwa kaya masikini utakofanyika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari