Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Banda kuomboleza…
Continue Reading....Month: April 2012
The great Kanumba afariki dunia
Na Mwandishi Wetu MSANII maarufu wa sanaa ya kuigiza nchini Tanzania, Steven Kanumba amefariki dunia. Taarifa zinasema Kanumba amefariki dunia usiku wa kuamkia leo alipokuwa…
Continue Reading....Rais Kikwete ataja majina ya wajumbe Tume ya mabadiliko ya Katiba
Na Mwandishi Wetu RAIS Jakaya Kikwete leo ametaja majina ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, ambao wataendesha mchakato wa kuelekea kupatikana kwa…
Continue Reading....Rais Bingu wa Mutharika afariki dunia
RAIS wa nchi ya Malawi Bingu wa Mutharika amefariki dunia baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo, akiwa na miaka 78. Taarifa kutoka katika Serikali…
Continue Reading....Waasi wa Tuareg wajitangazia uhuru Mali Kaskazini
WAASI wa Tuareg wameliteka eneo la Mali Kaskazini. “Tunatangaza rasmi uhuru wa Azawad kuanzia leo,” alisema Mussa Ag Attaher, ambaye aliongeza kwamba waasi hao wataheshimu…
Continue Reading....