Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • April
  • Page 22

Month: April 2012

Mkapa awekwa `kiti moto` UDSM

Posted on: April 16, 2012 - Rungwe Jr.

Mzimu wa ubinafsishaji uliofanywa dhidi ya yaliyokuwa mashirika ya umma, unazidi kumuandamana Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, ingawa binafsi bado hajaona athari…

Continue Reading....

Makongoro Nyerere aeleza atakavyo muenzi Nyerere ubunge EAC

Posted on: April 16, 2012 - jomushi
Makongoro Nyerere aeleza atakavyo muenzi Nyerere ubunge EAC

MTOTO wa Rais wa kwanza wa taifa la Tanzania anagombea nafasi ya ubunge katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kutimiza adhma ya Baba…

Continue Reading....

Ngoma Africa Band watoka na Uhuru wa Habari

Posted on: April 16, 2012April 16, 2012 - jomushi
Ngoma Africa Band watoka na Uhuru wa Habari

KWA kawaida wanahabari na vyombo vyao ndio wanarusha hewani habari za matukio mbalimbali pamoja wasanii na burudani zao kwa jamii, lakini bendi maarufu Ngoma Africa…

Continue Reading....

JK awasili nchini Brazil kikazi

Posted on: April 16, 2012 - jomushi
JK awasili nchini Brazil kikazi

Na Mwandishi Maalumu, Brazil RAIS Jakaya Kikwete amewasili Brazil Jumapili Aprili 15, 2012 kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tano. Katika ziara hiyo…

Continue Reading....

Vodacom Tanzania yapunguza gharama za M-Pesa kwa 20%

Posted on: April 16, 2012April 16, 2012 - jomushi
Vodacom Tanzania yapunguza gharama za M-Pesa kwa 20%

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imepunguza gharama zake za kutoa fedha kwa kupitia huduma yake ya M-Pesa hadi asilimia 20 ambapo…

Continue Reading....

‘Tutaendelea kulinda uhuru wa kuabudu dini zote Zanzibar’

Posted on: April 16, 2012 - jomushi
‘Tutaendelea kulinda uhuru wa kuabudu dini zote Zanzibar’

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema itaendelea kulinda uhuru wa dini zote ikiwa ni pamoja na kutokubali kuvumilia vitendo vyovyote vya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari