MRADI mkubwa umezinduliwa Pwani ya Lamu ambao utaziunganisha nchi za Kenya, Ethiopia na Sudani Kusini. Ujenzi wa mradi huo mkubwa wa bandari unatarajiwa kugharimu dola…
Continue Reading....Month: March 2012
Waziri Nundu aikoromea TAZARA kuhusu mishahara
Na Magreth Kinabo-MAELEZO SERIKALI imeiagiza Menejimenti ya TAZARA kuhakikisha mishahara ya wafanyakazi wake inalipwa haraka, ikiwa ni pamoja na kujenga utaratibu wa kutatua matatizo yanapojitokedha…
Continue Reading....Rais Kikwete amteua Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dk. Longinus Kyaruzi Rutasitara kuwa Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango (MARCO). Taarifa iliyotolewa…
Continue Reading....Madiwani: Serikali itueleze Mwakyembe anaumwa nini
Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela pamoja na wazee maarufu wa mji Kyela mkoani Mbeya, wamekutana kujadili suala la ugonjwa unaomsumbua Mbunge…
Continue Reading....Talgwu wahairisha maandamano ya wafanyakazi
Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) Sudi Madega (katikati) akitoa tamko leo jijini Dar es Salaam la kusitishwa kwa…
Continue Reading....Shahidi asema CCM imehusika kufungua kesi
Na Mwandishi Wetu, Arusha SHAHIDI wa 13 Gabriel Maleko katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godless Lema (CHADEMA) ameieleza…
Continue Reading....