Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • March
  • Page 33

Month: March 2012

Wiki ya Jinsia EAC kuanza Jumatatu Arusha

Posted on: March 4, 2012 - jomushi
Wiki ya Jinsia EAC kuanza Jumatatu Arusha

Na Nicodemus Ikonko, EANA SEKRETARIETI ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kushirikiana na taasisi tatu tofauti imeaandaa ‘Wiki ya Jinsia’ itakayoanza Jumatatu ijayo, kuhamasisha…

Continue Reading....

CCM, Chadema sasa ‘vita’ rasmi

Posted on: March 4, 2012 - jomushi
CCM, Chadema sasa ‘vita’ rasmi

Dar na Arusha VYAMA vya CCM na Chadema vimetangaza rasmi vita ya kuwania Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki, mkoani Arusha huku vikianika majina ya makada…

Continue Reading....

Meli ya ng’ombe yazuiwa kuegesha Misri

Posted on: March 4, 2012March 4, 2012 - jomushi
Meli ya ng’ombe yazuiwa kuegesha Misri

WATETEZI haki za wanyama wameiomba Misri na Djibouti zikubali meli yenye matatizo na iliyosheheni maelfu ya ng’ombe itie nanga katika bandarini moja wapo. Shirika liitwalo…

Continue Reading....

Matukio Sherehe ya Siku ya Mwanamke Dar!

Posted on: March 4, 2012March 4, 2012 - jomushi
Matukio Sherehe ya Siku ya Mwanamke Dar!

Kuona picha zaidi za tukio hili; BOFYA http://michuzi-matukio.blogspot.com Picha zote kwa Hisani ya Blog ya Mtaa kwa Mtaa.

Continue Reading....

Taa hizi ni mapambo bandia ya Jiji la Dar es Salaam?

Posted on: March 3, 2012 - jomushi
Taa hizi ni mapambo bandia ya Jiji la Dar es Salaam?

Jamani hizi taa za barabarani kila uchao zinatengenezwa hasa za katikati ya Jiji la Dar es Salaam, lakini cha ajabu haziwaki nyakati za usiku maeneo…

Continue Reading....

Breaking Newzzz! Madaktari kurudi kwenye mgomo

Posted on: March 3, 2012 - jomushi
Breaking Newzzz! Madaktari kurudi kwenye mgomo

TAARIFA ambazo mtandao huu umezipata muda si mrefu ni kwamba kikao cha majadiliano cha madaktari kilichokuwa kikifanyika leo Ukumbi wa Water Front (NSSF) kimemalizika na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari