Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • January
  • Page 19

Month: January 2012

JK atoa pole kwa wafiwa nyumbani kwa Sumari

Posted on: January 19, 2012 - jomushi
JK atoa pole kwa wafiwa nyumbani kwa Sumari

Rais Jakaya Kikwete Akimpa pole mjane wa Marehemu Jeremia Sumary, Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha wa zamani aliyefariki jana asubuhi jijini Dar…

Continue Reading....

Dk. Bilal atoa pole ya msiba wa Sumari Dar

Posted on: January 19, 2012 - jomushi
Dk. Bilal atoa pole ya msiba wa Sumari Dar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Mbunge wa Arumeru na…

Continue Reading....

‘Maandamano ya kudai haki hayahitaji kibali’

Posted on: January 19, 2012 - jomushi
‘Maandamano ya kudai haki hayahitaji kibali’

Na Joyce Ngowi MBUNGE wa Arusha mjini Godbless Lema kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema haogopi kesi za kupigania haki za wananchi hata…

Continue Reading....

Ligi Kuu ya Vodacom kuanza Jumamosi

Posted on: January 19, 2012January 19, 2012 - jomushi
Ligi Kuu ya Vodacom kuanza Jumamosi

Na Mwandishi Wetu MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara unaanza keshokutwa (Januari 21 mwaka huu) kwa mechi nne.…

Continue Reading....

Dk. Batlda Burian amuaga Makamu wa Rais

Posted on: January 19, 2012 - jomushi
Dk. Batlda Burian amuaga Makamu wa Rais

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk. Batlda Burian, wakati Balozi…

Continue Reading....

*H-Baba akamilisha sina raha na Banza Stone

Posted on: January 19, 2012 - jomushi
*H-Baba akamilisha sina raha na Banza Stone

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Hamis Ramadhan ‘H-Baba’ amekamilisha kibao chake kipya kinachotambulika kwa jina la Sina Raha, akimshirikisha gwiji wa muziki wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari