TAKRIBANI watu 3,000 wamekusanyika Blantyre nchini Malawi kupinga mashambulio dhidi ya wanawake wanaovaa suruali. Baadhi ya wachuuzi wa kike wiki hii walipigwa na kuvuliwa nguo…
Continue Reading....Month: January 2012
Milipuko yatikisa mji wa Kano, Nigeria al-shabab yahusishwa
Watu kadhaa wameripotiwa kuuawa kwenye milipuko iliyotokea katika mji wa Kano, kaskazini mwa Nigeria. Vituo vya Polisi pamoja na makao makuu ya Polisi eneo hilo…
Continue Reading....Wazimbabwe kuwachezesha Twiga Stars
MECHI ya marudiano kusaka tiketi ya kucheza fainali za Nane za Kombe Afrika kwa Wanawake (AWC) zitakazofanyika Novemba mwaka huu nchini Equatorial Guinea kati ya…
Continue Reading....ZH Poppe yatoa tiketi kwa waamuzi
KAMPUNI ya ZH Hope Limited imegharamia tiketi za waamuzi na kamishna atakayesimamia mechi ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC)…
Continue Reading....Walemavu wanasahaulika mapambano ya Ukimwi
Na Mwandishi Wetu VIKWAZO kadhaa vinavyowakabili watu wenye ulemavu hasa kupata elimu na ufahamu wa kutosha juu ya ugonjwa wa Ukimwi, vinairudisha nyuma jamii hiyo.…
Continue Reading....