Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) imetangaza kuanza kwa mchakato wa ufadhili wa masomo ya elimu ya juu kwa mwaka 2011. Taarifa…
Continue Reading....Month: September 2011
Salamu za rambirambi kutoka mtandao wa Hakielimu
Tunatoa pole kwa Watanzania wote kwa msiba uliotakana na ajali ya meli huko Tanzania visiwani. Mwenyezi Mungu awalaze ndugu zetu wote waliotangulia mbele za haki,…
Continue Reading....Salam za Rambirambi kutoka Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU)
WATANZANIA tunaoishi ujerumani tumesikitishwa sana na habari mbaya ya ajali ya meli iliyotokea 10.09.11 katika bahari ya hindi katikati ya visiwa vya Pemba na Unguja…
Continue Reading....Dk. Chami afungua maonesho ya wajasiriamali Mbinga
Na Dunstan Mhilu, Mbinga MAONESHO ya wajasiriamali wadogo na wakati Kanda ya Kusini yamefunguliwa rasimi na Waziri wa Viwanda na Biashhara Dk. Cyril Chami katika …
Continue Reading....Pinda azindua Tawi la Benki ya CRDB Mpanda
Na Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesisitiza kuwa uwekezaji katika wilaya ya Mpanda na Mkoa mzima wa Rukwa ni wa lazima na hauwezi kuepukika…
Continue Reading....JK atoa milioni 300 ajali ya Meli Zanzibar
Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa kiasi cha sh. milioni 300 zitakazotumika katika shughuli zima ya uokoaji pamoja na kusaidia…
Continue Reading....