Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • August
  • Page 45

Month: August 2011

Waathirika wa ‘unga’ wasaidiwa mil 10 Pemba

Posted on: August 3, 2011 - jomushi
Waathirika wa ‘unga’ wasaidiwa mil 10 Pemba

Na Mwandishi wa Jeshi la Polis- Pemba BALOZI wa Polisi Jamii nchini, Bi. Rahma Al-Kharoosi ametoa sh. milioni 10 fedha ambazo zitatumika kuwasaidia waathirika wa…

Continue Reading....

Kheri ya Mfungo wa Ramadhani wadau wote!

Posted on: August 3, 2011August 3, 2011 - Rungwe Jr.
Kheri ya Mfungo wa Ramadhani wadau wote!

WAISLAM nchini Tanzania tarari wameungana na wenzao duniani kote kuanza mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhani. Uongozi na wafanyakazi wa dev.kisakuzi.com unawatakia Ramadhani njema!

Continue Reading....

Sakata la samaki wenye ‘sumu’: Japan yatoa tamko

Posted on: August 3, 2011 - jomushi
Sakata la samaki wenye ‘sumu’: Japan yatoa tamko

WAKATI Serikali ya Japan ikikanusha kuwa samaki waliosafirishwa kuja nchini hawana aina yoyote ya mionzi hatari kwa binadamu, Tanzania imesema wizara tatu zinatarajia kukutana hivi…

Continue Reading....

Malecela ataka uamuzi mgumu dhidi ya Lowassa, Chenge

Posted on: August 3, 2011 - jomushi
Malecela ataka uamuzi mgumu dhidi ya Lowassa, Chenge

Dodoma MWANASIASA mkongwe, Samuel John Malecela, amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kuchukua maamuzi thabiti ya kumalizana na dhana ya kujivua gamba kwa ama kutekeleza au…

Continue Reading....

Serikali yashusha bei ya mafuta

Posted on: August 3, 2011 - jomushi
Serikali yashusha bei ya mafuta

Dodoma, MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imeshusha bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kunzia leo. Akizungumza…

Continue Reading....

Picha mbalimbali za maonesho ya Nane Nane mjini Dodoma

Posted on: August 2, 2011 - jomushi
Picha mbalimbali za maonesho ya Nane Nane mjini Dodoma

Ofisa Mfuko wa Hiari wa Kujiwekea akiba uzeeni (GEPF), Aziza Selemani akitoa ufafanuzi kwa mwananchi aliyetembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya Wakulima…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari