Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • August
  • Page 43

Month: August 2011

Wizara kuchangia mil 300 ujenzi wa hosteli ya wakulima

Posted on: August 4, 2011 - jomushi
Wizara kuchangia mil 300 ujenzi wa hosteli ya wakulima

Janeth Mushi, Arusha WIZARA ya Kilimo Chakula na Ushirika kwa kushirikiana na wafadhili toka nchini Japan imeahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni 300 kwa ajili…

Continue Reading....

Poulsen awaita 20 kuunda Stars

Posted on: August 4, 2011August 4, 2011 - jomushi
Poulsen awaita 20 kuunda Stars

KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Jan Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 20 kwa ajili ya mechi ya kirafiki ugenini inayochezwa kwenye tarehe zinazotambuliwa na Shirikisho…

Continue Reading....

Dar ni kero tupu, petroli, diseli yatoweka na kugeuka lulu

Posted on: August 4, 2011 - jomushi
Dar ni kero tupu, petroli, diseli yatoweka na kugeuka lulu

Na Joachim Mushi WAFANYABIASHARA wa usafirishaji na wamiliki wa vyombo vya moto jijini Dar es Salaam leo wameendelea kuhaha wakitafuta nishati za mafuta ya dizeli…

Continue Reading....

Banda la Wizara ya Fedha katika maonesho ya Nane Nane Dodoma

Posted on: August 4, 2011 - jomushi
Banda la Wizara ya Fedha katika maonesho ya Nane Nane Dodoma

Continue Reading....

Taswa waandaa bonaza la michezo miaka 50 ya uhuru

Posted on: August 4, 2011 - jomushi
Taswa waandaa bonaza la michezo miaka 50 ya uhuru

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kimeandaa bonanza maalum la kuwapongeza wanamichezo mbalimbali waliopata kuiletea sifa nchi katika kipindi cha miaka 50…

Continue Reading....

Wauzaji petroli, dizeli waiweka pabaya Serikali ya JK

Posted on: August 4, 2011August 4, 2011 - jomushi
Wauzaji petroli, dizeli waiweka pabaya Serikali ya JK

Rais Kikwete. WAFANYABIASHARA wa nishati za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa nchini, sasa wanaiweka pabaya Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kwa kile…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari