Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • August
  • Page 42

Month: August 2011

Kikombe cha Babu chashindwa kutibu Ukimwi!

Posted on: August 4, 2011 - Rungwe Jr.
Kikombe cha Babu chashindwa kutibu Ukimwi!

Na Paul Sarwatt, Arusha Waliokunywa wapimwa baada ya siku 90 Matokeo yaonyesha bado wana virusi Wailaumu Serikali ‘kubariki’ kikombe cha Babu MACHI 20 mwaka huu,…

Continue Reading....

Zao la alizeti linaweza kukuza uchumi wa Tanga

Posted on: August 4, 2011August 4, 2011 - jomushi
Zao la alizeti linaweza kukuza uchumi wa Tanga

Na Ngusekela David, Tanga MKUU wa Wilaya ya Handeni, Seif Mpembenwe amesema wakulima wa alizeti wataweza kuinua kipato chao mara dufu endapo watalima zao hilo…

Continue Reading....

Waheshimiwa Sitta na Mrema vipi tena?

Posted on: August 4, 2011August 4, 2011 - Rungwe Jr.
Waheshimiwa Sitta na Mrema vipi tena?

Hii ni hatari sana kwa maendeleo ya taifa!!!

Continue Reading....

Maonyesho ya Nane Nane Dodoma!

Posted on: August 4, 2011 - Rungwe Jr.
Maonyesho ya Nane Nane Dodoma!

   Afisa habari na uhusiano wa  Mfuko wa Pensheni (PPF) Edwin Kyungu akitoa maelezo kwa wanafunzi wa Kidato cha Tatu wa Shule ya Sekondari Wella…

Continue Reading....

RUFANI YA SHINYANGA UNITED YATOLEWA UAMUZI

Posted on: August 4, 2011 - jomushi
RUFANI YA SHINYANGA UNITED YATOLEWA UAMUZI

KAMATI ya Nidhamu na Usuluhishi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti wake Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mstaafu Alfred Tibagana…

Continue Reading....

Chadema Arusha waitaka Kamati Kuu Taifa kuwatimua madiwani sita Arusha

Posted on: August 4, 2011August 4, 2011 - jomushi
Chadema Arusha waitaka Kamati Kuu Taifa kuwatimua madiwani sita Arusha

Na Janeth Mushi, Arusha IKIWA ni siku chache tangu uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Arusha Mjini mkoani hapa kujiuzulu, uongozi wa chama…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari