Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • August
  • Page 38

Month: August 2011

WALIONUFAIKA NA MRADI WA WEZA, WAPATA MWAMKO WA KUDAI HAKI

Posted on: August 7, 2011August 8, 2011 - jomushi
WALIONUFAIKA NA MRADI WA WEZA, WAPATA MWAMKO WA KUDAI HAKI

Na Mwandishi Wetu JUMLA ya kesi 42 za ukatili dhidi ya wanawake vijijini huko Kusini Unguja na kaskazini Pemba zimefikishwa katika vyombo vya sheria. Kesi…

Continue Reading....

Wakulima watakiwa kuzingatia ushauri wa wataalam

Posted on: August 7, 2011 - jomushi
Wakulima watakiwa kuzingatia ushauri wa wataalam

Na Janeth Mushi, Arusha WAFUGAJI na wakulima nchini wametakiwa kufufanya shughuli zao kwa kufuata ushauri wanaopatiwa na wataalamu ili kuongeza uzalishaji pamoja na ubora wa…

Continue Reading....

Makamu wa Rais aitaka APRM ifike Zanzibar

Posted on: August 7, 2011 - jomushi
Makamu wa Rais aitaka APRM ifike Zanzibar

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Ali Seif Idi ameshauri Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora…

Continue Reading....

Chadema wafanya uamuzi mgumu, watimua madiwani wake watano Arusha

Posted on: August 7, 2011 - jomushi
Chadema wafanya uamuzi mgumu, watimua madiwani wake watano Arusha

Na Mwandishi Wetu, Dodoma KIKAO cha Kamati Kuu ya CHADEMA ilikutana kwa dharura Jumamosi na Jumapili mjini Dodoma kimefanya uamuzi mgumu kwa kuamua kuwafukuza uanachama…

Continue Reading....

Naibu Waziri wa Fedha alipotembelea Banda la Wizara hiyo Maonesho ya Nane Nane Dodoma

Posted on: August 7, 2011 - jomushi
Naibu Waziri wa Fedha alipotembelea Banda la Wizara hiyo Maonesho ya Nane Nane Dodoma

Naibu Waziri wa Fedha Pereira Silima (kulia) alipata maelezo jana juu ya mpango wa hiari kutoka kwa Ofisa Masoko Mwandamizi, James Mlowe (kushoto) alipotembelea banda…

Continue Reading....

SERIKALI YATAKIWA KUIMARISHA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

Posted on: August 7, 2011August 8, 2011 - jomushi
SERIKALI YATAKIWA KUIMARISHA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

Na Janeth Mushi, Thehabari Arusha SERIKALI kwa kushirikiana na taasisi binafsi imetakiwa kuimarisha kilimo cha umwagiliaji ikiwa ni pamoja na kutoa elimu juu ya umuhimu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari