Tanzania imetangaza kupiga marufuku biashara ya kukamata na kuwasafirisha wanyamapori kwenda nje ya nchi. Hatua hiyo imetangazwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati akijibu hoja…
Continue Reading....Month: August 2011
CCM waanza rafu Jimbo la Igunga, Takukuru yawanasa wakipeana mlungula uchaguzi kura za maoni
Na Mwandishi Wetu, Igunga MCHAKATO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kura za maoni kuteua majina ambayo yatawasilishwa katika kikao cha Kamati ya Siasa ya…
Continue Reading....Longo longo za upatikanaji umeme nchini zaendelea
TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU HALI YA UMEME NCHINI, WIKI HII Taarifa hii imewasilishwa jana bungeni Dodoma Mheshimiwa Spika, jana asubuhi, baada ya kipindi cha maswali…
Continue Reading....Dk. Bilal asaini makubaliano ya itifaki za SADC kudhibiti fedha chafu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maafikiano yaliyotokana na itifaki ya pamoja kwa nchi za…
Continue Reading....Wakili Mwale apelekwa Gereza la Kisongo
Na Janeth Mushi, Arusha HATIMAYE wakili maarufu mkoani hapa, Medium Mwale anayeshtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi wa zaidi ya sh. bilioni 18 na kughushi…
Continue Reading....Timu washiriki Ligi Kuu kulamba mil 26.3 kila moja
Na Mwandishi Wetu KILA timu inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania inatarajia kupewa jumla ya sh. milioni 26.3, fedha zitakazotumika kama gharama ya klabu katika…
Continue Reading....