Rais wa Marekani Barack Obama amesema utawala wa Gaddafi umefikia ukingoni na kumtaka aondoke madarakani ili kuepusha damu zaidi kumwagika. Amewataka waasi kuheshimu haki za…
Continue Reading....Month: August 2011
Tripoli yachukuliwa na Waasi, mtoto wa Gaddafi akamatwa
PICHA za televisheni zinaonesha Waasi wakiwa katika Uwanja wa Green Square ndani ya Mji Mkuu, huku makundi ya watu wenye furaha wakisherehekea kuwasili kwa waasi…
Continue Reading....JK: Uongozi ni utumishi wa wananchi
Na Mwandishi Maalumu, Lindi RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kazi kubwa ya viongozi ni kusikiliza na kutafuta ufumbuzi wa matatizo na kero za wananchi,…
Continue Reading....NMB kutoa mikopo kwa wajasiriamali
Na Mwandishi Wetu, Iringa MUUNGANO wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) umefanikiwa kuwaunganisha wajasiriamali mkoani Iringa na Benki ya NMB mkoani humo, ili kuwasaidia kujipatia mafaniko zaidi…
Continue Reading....Dk. Bilal awazawadia washindi wa kuhifadhi Qur-an
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, mshindi wa kwanza wa fainali wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an,…
Continue Reading....Yanga yachezea kichapo tena, Simba yatafuna tena
Na Mwandishi Wetu TIMU ya Yanga ya Dar es Salaam jana imeendelea kuanza vibaya Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kujikuta ikifungwa tena na Timu…
Continue Reading....