Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • August
  • Page 15

Month: August 2011

Mbunge apata ajali Dodoma, mkewe afariki dunia

Posted on: August 22, 2011 - jomushi
Mbunge apata ajali Dodoma, mkewe afariki dunia

Na Mwandishi wetu, Dodoma MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi (B.L.W) wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Mussa Khamis Silima amefiwa na mkewe baada ya gari…

Continue Reading....

Msekwa ajibu mapigo, amuita mbunge wa CCM mzushi, anachuki

Posted on: August 22, 2011 - jomushi
Msekwa ajibu mapigo, amuita mbunge wa CCM mzushi, anachuki

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MWENYEKITI wa Bodi ya Ngorongoro, Pius Msekwa amesema tuhuma zilizotolewa bungeni na Mbunge wa Ngorongoro, Kaika Telele wa Chama Cha Mapinduzi…

Continue Reading....

TFF yawashtaki Rage, Sendeu Kamati ya Nidhamu

Posted on: August 22, 2011 - jomushi
TFF yawashtaki Rage, Sendeu Kamati ya Nidhamu

Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepeleka mashtaka mbele ya Kamati ya Nidhamu na Usuluhishi dhidi ya Mwenyekiti wa Simba, Ismail…

Continue Reading....

Mlinzi aiibia Precision Air zaidi ya mil 35 Arusha

Posted on: August 22, 2011 - jomushi
Mlinzi aiibia Precision Air zaidi ya mil 35 Arusha

Na Janeth Mushi, Arusha MLINZI wa Kampuni ya Ulinzi ya Mint Master Security, aliyefahamika kwa jina moja la Hassan anatafutwa na Jeshi la Polisi mkoani…

Continue Reading....

Happy birthday Jerome Risasi

Posted on: August 22, 2011 - jomushi
Happy birthday Jerome Risasi

MDAU na Mwanafamilia wa tasnia ya habari Jerome Risasi leo anasherehekea siku ya kuzaliwa. Uongozi na wafanyakazi wa dev.kisakuzi.com unamtakia kila lililo jema, katika kuliendeleza…

Continue Reading....

AJAAT, TACAIDS kuwashindanisha waandishi habari za Ukimwi

Posted on: August 22, 2011August 22, 2011 - jomushi
AJAAT, TACAIDS kuwashindanisha waandishi habari za Ukimwi

Na Esther Muze na Tiganya Vincent, MAELEZO- Dar es Salaam CHAMA cha Waandishi wa Habari za UKIMWI (AJAAT) kwa kushirikiana na Tume ya Kudhibiti UKIMWI…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari