Moja ya cheti cha ushindi ambacho dev.kisakuzi.com imekabidhiwa baada ya ushindi. WEBSITE ya kimataifa ya Thehabari (dev.kisakuzi.com) imeshinda tuzo mbili katika mashindano yalioendeshwa na taasisi…
Continue Reading....Month: July 2011
Wafanyakazi SBL wawagagadua wahariri 1-0
Mgeni rasmi wa mchezo huo, Joseph Kulangwa ambaye pia ni Mhariri Mkuu wa Habari Leo (kulia) akisalimiana na mmoja wa wachezaji wa timu ya Serengeti…
Continue Reading....Wahariri watembelea kiwanda cha Bia ya Serengeti Moshi
Wahariri wa habari nchini Tanzania kutoka vyombo mbalimbali wakitembelea kiwanda cha Bia ya Serengeti (Serengeti Breweries Ltd) kilichopo mjini Moshi jana baada ya kumaliza mkutano…
Continue Reading....Mbunge wa CHADEMA amlipua Sitta
Na Debora Sanja, Dodoma SPIKA wa Bunge mstaafu, Samuel Sita, amelipuliwa bungeni baada ya Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa, kuhoji uhalali wake…
Continue Reading....Lowassa: Nasikitika Rostam kujiuzulu
• Aliumia zaidi wananchi walipolia • Asema muda ukifika atasema cha kufanya • Chadema watamba kushinda Igunga Na Maregesi Paul, Dodoma Babu sikutarajia kama hali…
Continue Reading....Kilango achachamaa bungeni, amshushua Ngeleja
*Asema hataki chai, anataka umeme Dodoma ILE siku iliokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wabunge imewadia ambapo mbunge wa Same Mashariki, Anna Kilango (CCM), amekuwa wa…
Continue Reading....