Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • July
  • Page 18

Month: July 2011

Ngoma Africa band wakishambulia Tübingen Festival

Posted on: July 20, 2011July 20, 2011 - jomushi
Ngoma Africa band wakishambulia Tübingen Festival

Baadhi ya wasanii wa muziki wa band ya ‘FFU’ ngoma Afrika Bakuli ya “Supu ya Mawe” yawalewesha washabiki! Kile kikosi kazi cha Ngoma Africa band…

Continue Reading....

Rais Kikwete amtumia rambirambi Mkuu wa Majeshi

Posted on: July 20, 2011 - jomushi
Rais Kikwete amtumia rambirambi Mkuu wa Majeshi

Jenerali Davis Mwamunyange. Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange kufuatia kifo cha Brigedia Jenerali Ally Abdallah…

Continue Reading....

Kim Poulsen atangaza kikosi cha Ngorongoro Heroes

Posted on: July 20, 2011 - jomushi
Kim Poulsen atangaza kikosi cha Ngorongoro Heroes

KOCHA Mkuu wa timu za Taifa za vijana, Kim Poulsen jana alitangaza kikosi cha wachezaji 30 wanaounda timu yenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro…

Continue Reading....

Wachezaji wa PSPF na Bunge wakijumuika pamoja kwenye chakula cha jioni baada ya mechi. Pt 2

Posted on: July 19, 2011July 20, 2011 - Rungwe Jr.
Wachezaji wa PSPF na Bunge wakijumuika pamoja kwenye chakula cha jioni baada ya mechi. Pt 2

Wachezaji wakiwa kwenye utulivu mkubwa Mdau Rahim Hashim akiwa na furaha kubwa ingawa timu yake imeshindwa, bila shaka anatambua kuwa ‘asiyekubali kushindwa si mshindani’.    …

Continue Reading....

Siku timu ya soka ya Bunge ilivyonyakua Kombe!

Posted on: July 19, 2011July 19, 2011 - Rungwe Jr.
Siku timu ya soka ya Bunge ilivyonyakua Kombe!

Mbunge wa Sengerema, Mh. William Ngeleja akiwa anachekelea huku amenyanyua Kombe la ushindi juu, washrika wengine wakiwa wanashangilia. Jezi nambari Tano mgongoni Mh. Ngeleja akiyoyoma…

Continue Reading....

Hivi ndio mambo yalivyokuwa uwanjani kati ya PSPF na Timu ya Bunge!

Posted on: July 19, 2011July 21, 2011 - Rungwe Jr.
Hivi ndio mambo yalivyokuwa uwanjani kati ya PSPF na Timu ya Bunge!

        Picha ya juu na chini, Timu ya mpira wa Pete ya PSPF wakijiandaa kuanza mchezo wao na timu ya Bunge la…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari