
Bi. Shagufta (mwenye ushungi mwekundu na miwani) akiendelea kutoa zawadi za wadau wa Marekani na Thehabari

Lango kuu la kuingilia kituo cha yatima cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza. Kituo hiki kina takriban watoto tisini, wakike na kiume, kuanzia miezi sita hadi miaka kumi na nane.
Picha zaidi zitawajia punde……