Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • NIDA

Tag: NIDA

Mamlaka ya Vitambulisho Yatimu Wafanyakazi 597

Posted on: March 7, 2016 - jomushi
Post Tags: NIDA
Mamlaka ya Vitambulisho Yatimu Wafanyakazi 597

MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA) imesitisha mikataba ya wafanyakazi wa muda 597. Kwa mujibu wa taarifa ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Modestus…

Continue Reading....

Mambo Yaharibika NIDA, Rais Amsimamisha Mkurugenzi

Posted on: January 25, 2016 - jomushi
Post Tags: NIDA
Mambo Yaharibika NIDA, Rais Amsimamisha Mkurugenzi

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya…

Continue Reading....

NIDA Waenda Maonesho ya Sabasaba Kujibu Maswali ya Wananchi

Posted on: July 4, 2015 - jomushi
Post Tags: NIDA, Sabasaba
NIDA Waenda Maonesho ya Sabasaba Kujibu Maswali ya Wananchi

Na Mwandishi Wetu OFISI ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inashiriki Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa ikiwa na lengo la kuwasaidia wananchi mbalimbali…

Continue Reading....

Serikali Yaahidi Kuisaidia NIDA Kufikia Malengo

Posted on: March 4, 2015 - jomushi
Post Tags: Baraza la Wafanyakazi, NIDA, serikali
Serikali Yaahidi Kuisaidia NIDA Kufikia Malengo

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima leo amefungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)…

Continue Reading....

RC Awatahadharisha NIDA Juu ya Wahamiaji Haramu

Posted on: September 23, 2014 - jomushi
Post Tags: NIDA, Wahamiaji Haramu
RC Awatahadharisha NIDA Juu ya Wahamiaji Haramu

Na Yohane Gervas, Rombo KUFUATIA uwepo wa wimbi kubwa la wahamiaji haramu mkoani Kilimanjaro, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA) imetakiwa kuwa makini katika…

Continue Reading....
thehabari