Hii shule ya chekechea ipo Goba jijini Dar, na taarifa tulizozipata ni kwamba Ina wanafunzi 50. Picha na Mpiga picha wetu Maalum.
Continue Reading....Tag: Dar
Maandalizi ya Kusheherekea Miaka 50 ya Muungano
Pichani juu, Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni zikiwa zimepambwa kwa bendera ya Tanzania, sambamba na maeneo mengine ya Jiji la Dar. Wakati mabilioni…
Continue Reading....Bustani ya Kupumzikia Yageuzwa Makazi!
Pichani, ni eneo la Umoja Wa Vijana, Mtaa wa Kipande karibu na Exim Bank, inaonekana nguo zikiwa zimeanikwa kwenye Bustani hiyo au kwa ung’eng’e Park.…
Continue Reading....Wakazi wa Jangwani Waanza Kurejea Kwenye Makazi Yao Licha ya Maafa Yaliyowakuta!
Kama picha zilivyonaswa na thehabari hapo juu, inaonekana wakazi wa Jangwani wakirejesha makazi yao licha ya maafa makubwa yaliyowakuta kutokana na mvua kubwa zilizolikumba jiji…
Continue Reading....Mafuriko Ya Dar Yaleta Neema Kwa Baadhi ya Wakazi Wake!
Thehabari leo ilivinjari maeneo ya Mto Mzinga, eneo la kwa Mpalange, Manispaa ya Temeke, na kushuhudia biashara ya kuvusha watu ikiendelea kutoka upande mmoja wa…
Continue Reading....Je Huu ni Usafiri Kafiri Au..?
Pichani, ni wakazi wa jiji la Dar es Salaam kama walivyonaswa leo na mpiga picha wetu wakiwa kwenye heka heka za kuingia kwenye Daladala, ambalo…
Continue Reading....