Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Dar
  • Page 6

Tag: Dar

Ujumbe wa Leo!

Posted on: May 7, 2014May 7, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: Dar, leo, Ujumbe
Ujumbe wa Leo!

Ujumbe wa leo kama ulivyonaswa na Mpiga picha wetu, unasema “Kazi Mbaya Uwe Nayo” , maana yake kazi utaiona mbaya kama unayo. Ukiwa huna kazi,…

Continue Reading....

Huu ni Msimu wa Miogo Tanzania, Zijue Faida zake!

Posted on: May 3, 2014May 3, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: Dar, wakazi
Huu ni Msimu wa Miogo Tanzania, Zijue Faida zake!

Virutubisho vya muogo vinatoka kwenye madini ya zinc, iron, na magnesium, ambayo yanasaidia damu kusambaza oksijeni mwilini. Kwa kiasi kidogo cha Potassium, vyakula vilivyoandaliwa na…

Continue Reading....

Madereva Wetu Ndio Husababisha Misongamano Isiyo ya Lazima Barabarani!

Posted on: May 1, 2014May 1, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: ajali, daladala, Dar
Madereva Wetu Ndio Husababisha Misongamano Isiyo ya Lazima Barabarani!

Picha zinaonyesha magari (mara nyingi Daladala) yakiendeshwa upande wa gari zitokazo upande wa pili, maarufu kama “Kutanua”! Tabia hii imekuwa ikisababisha misongamano, isiyokuwa ya lazima…

Continue Reading....

Ujumbe wa Leo!

Posted on: May 1, 2014May 1, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: bajaji, bodaboda, Dar, Ujumbe
Ujumbe wa Leo!

Tumegundua hizi jumbe za mjini Dar huwa zinajibishana kwasababu kuna ujumbe mmoja (kwenye Bodaboda) tuliweka hapa ulikuwa unasema “Usije Mjini” na huu wa leo kwenye…

Continue Reading....

Wito Kwa Kina Baba Kuondoa Dhana Potofu!

Posted on: April 29, 2014April 29, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: daladala, Dar, kushirikiana, manispaa, mke, mume
Wito Kwa Kina Baba Kuondoa Dhana Potofu!

Maisha ya sasa kushirikiana kama picha zinavyoonyesha hapo juu, mke na mume kwakishirikiana kuuza vitumbua. Mke akichoma na mume akiwa anatoa huduma kwa wateja, ambao…

Continue Reading....

Ujumbe wa Leo!

Posted on: April 29, 2014April 29, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: Dar, mambo, mtoto, mwanao, shule
Ujumbe wa Leo!

Ujumbe upo wazi kabisa “Kama Jela Shule, Mpeleke Mwanao” Dar kweli Ina mambo! Picha na Mpiga Picha Maalum wa Thehabari, Dar

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari