Sekta ya Uchukuzi Yaelekea Dodoma, Wamfuata Waziri Mkuu
Na Biseko Ibrahim WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amewataka watumishi wa Wizara hiyo Sekta ya Uchukuzi kutumia vizuri fursa ya kuhamia Dodoma kwa kuwatumikia Watanzania kwa uadilifu na weledi. Amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati akiwaaga watumishi wa Sekta ya uchukuzi wa awamu ya kwanza ambao wameondoka leo kuelekea mjini Dodoma. “Nawapongeza kwa kupata fursa …
Makonda Akabidhi Majina Mengine ya Watuhumiwa Dawa za Kulevya
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amekabidhi orodha nyingine ya watuhumiwa wa dawa za kulevya ili waweze kushughulikiwa na Mamlaka Mpya ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya. Makonda amekabidhi faili la majina hayo kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo, Rogers William ambaye ameahidi kuendeleza moto ule ule wa mapambano ili kuhakikisha wanatokomeza biashara hiyo …
Kilimanjaro Yataja Majina ya Wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandamizi,Wilbroad Mutafungwa akitaja majina ya watu wanadaiwa kujihusisha na usafirishaji, uuzaji na matumizi ya dawa za kulevya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Wilbroad Mutafungwa akinyunyiza marashi juu ya Mirungi iliyofungwa katika vipande vya magazeti ikiwa ni mbinu mpya inayotumiwa na wasafirishaji wa bidhaa hizo. Baadhi ya watuhumiwa wa dawa za kulevya waliokamatwa …
CSSC Kuadhimisha Miaka 25 ya Huduma kwa Mafanikio Makubwa
CSSC yajivunia hospitali 102 na taasisi 1006 nchi nzima TUME ya Kikristo ya Huduma za jamii (CSSC), inatarajia kuadhimisha miaka ishirini na mitano (25), tangu kuanzishwa kwake mwaka 1992, maadhimisho yatakayofanyika kwa siku mbili tarehe 21 na 22 mwezi Februari katika ukumbi wa Diamond Jubelee na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mkurugenzi Mtendaji …
Habari Hazichangii Kutokomeza Umasikini kwa Wanaoishi Vijijini…!
Taarifa ya utafiti huo ikiendelea kutolewa. Mwanahabari Hilda wa gazeti la Daily News akiwa mzigoni. Maofisa wa LHRC wakifuatilia mkutano huo. Na Dotto Mwaibale UTAFITI uliofanywa na Mwanachama wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Ananilea Nkya, kama sehemu ya masomo yake ya Shahada ya Uzamivu (PhD), umebaini kuwa habari zinazotangazwa na vyombo vya habari nchini hazichangii …