MV Clarias Kuanza Kazi Mwisho mwa Mwezi Februari

  Na Biseko Lisso Ibrahim, WUUM (U) Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya uchukuzi), Eng. Dkt. Leonard Chamuriho ameipongeza kampuni ya huduma za meli nchini (MSCL), kwa kukarabati meli zake kwa kutumia fedha za ndani na hivyo kuhuisha utendaji kazi wa kampuni hiyo. Akizungumza jijini Mwanza mara baada ya kukagua huduma zinazotolewa na kampuni hiyo Eng. Dkt. …

Rais Magufuli Akutana na Makamu Rais wa Benki ya AfDB

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 17 Februari, 2017 amekutana na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayeshughulikia masuala ya nishati Bw. Amadou Hott ambaye yupo hapa nchini kwa mazungumzo na wataalamu na viongozi yenye lengo la kuboresha sekta ya nishati hususani uzalishaji wa umeme. Bw. Amadou …

UUNDP Yakutana na Kuzungumza na Wanafunzi wa Shule ya Wasichana Weruweru

    Mwakilishi wa Mashirika ya Kimataifa nchini na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Alavaro Rodriguez (katikati) akiwa ameongozana na Mkurugenzi anayesimamia Mashirika ya Umoja wa Mataifa , Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Celestine Mushi (kushoto) na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ya mkoani …

Mkuu wa Mkoa Simiyu Awaalika Wawekezaji, Ni Katika Jukwaa la Biashara

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Antony Mtaka (katikati), Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa  na Michezo Profesa Elisante ole Gabriel (kushoto), na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya uchapishaji wa Magazeti ya serikali (TSN) Tanzania Standard Newspaper Dkt Jim Yonazi (kulia) wakisikiliza maelezo mbalimbali katika Kongamano hilo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa  na Michezo Profesa Elisante ole …