Meya Dar Aomba Busara za Mashehe Kuliongoza Jiji

  Na Elisa Shunda MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amewaomba Mashehe na Wazee wa jiji kumuunga mkono katika katika kazi yake ili kutatua changamoto zilizopo katika jiji hilo. Meya Isaya ametoa kauli hiyo jiji hapa wakati wa maulidi ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume wao Muhammad Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam ambapo, pamoja na …

Usajili Kili Half Marathon Waendelea Jijini Dar…!

  Usajili unaendelea Mlimani City Jijini Dar es salaam. Wananchi mbalimbali wakiendelea na Usajili wa mashindano ya Kili Half Marathon kwenye banda la Tigo jijini Dar es Salaam jana tayari kwa mashindano hayo yatakayofanyika tarehe 26 mwezi huu, Usajili huo ulifanyika kwa kutumia huduma ya Tigopesa, Zoezi la usajili linaendelea leo pia.   Wananchi mbalimbali wakiendelea na Usajili wa mashindano …

Mkuu wa Wilaya Muheza Awatembelea Waliopasuliwa Macho

MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katika akiingia kwenye kituo cha Afya Cha Ubwari wakati alipokwenda kuangalia zoezi la upasuaji wa macho kwa wakazi wa wilaya hiyo wanaokabiliwa na matatizo mbalimbali ikiwemo ya mtoto wa Jicho iliyoendeshwa na Taasisi ya Medewell Charitable Health Centre kulia ni Mganga Mkuu wa wilaya hiyo, Mathew Mganga na kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo,Luiza Mlelwa. Baadhi …

Kipindupindu Charejea Dar, Chaibukia Kigamboni

Na Dotto Mwaibale WAKATI jiji la Dar es Salaam likiwa katika  mapambano ya kukabiliwa na dawa za kulevya jiji hilo limekumbwa na ugonjwa wa kipindupindu ambapo mtu mmoja aliyetajwa kwa jina la Ramadhan Kiumbo (maarufu kwa jina la Popo) mkazi wa Kibada Kigamboni amefariki kutokana na ugonjwa huo.   Akizungumza Dar es Salaam leo ndugu yake na marehemu huyo aliyejitambulisha …