Na Mwandishi Wetu, Simiyu KAMPUNI kitalii zilizo chini ya Friedkin Conservation Fund (FCF) Tanzania iliyowekeza katika pori la Makao wilayani Meatu na Maswa Mkoani Simiyu imechangia mifuko 3000 ya saruji na mabati na 1000 kusaidia ujenzi wa shule za sekondari wilayani humo. Misaada hiyo yenye thamani ya zaidi ya sh milioni 70 imetolewa na kampuni hizo ikiwa ni …
Mkurugenzi Namaingo Business Agency Atembelea Wajasiriamali
Mafunzo yanayotolewa na kampuni hiyo kwa wajasiriamali zaidi ya 400,000 nchini ni ufugaji wa kuku wa chotara, sungura, samaki pamoja na kilimo bishara cha mbogamboga na matunda. Pia husaidia kupatika kwa masoko ya bidhaa hizo, pamoja na kuwaunganisha katika taasisi mbalimbali za kifedha ili kupata mikopo kirahisi. …
Baadhi ya Maaskofu Wampaka Mafuta na Kumwombea Rais Magufuli
Askofu wa Good News for All Ministry, Dkt. Charles Gadi akizungumza na waandishi wa habari wakati madhehebu mbalimbali hapa nchini walipomuombea Rais Dkt. John Pombe Magufuli, nchi, pamoja na kumpongeza kwa kumteua Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Dar es Salaam. Kushoto ni Askofu Hezron Mwamsemba wa Kanisa la Baptist jijini na katikati ni Askofu Ernest Sumisumi wa kanisa hilo. …
Dk Kigwangalla Afunguka Maandhimisho Miaka 25 ya CSSC
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala, ameungana na Wadau wa Tume ya Kikristu ya Huduma za Jamii (CSSC) katika kuadhimisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Tume hiyo. Akizungumza katika ufunguzi, Dkt. Kigwangala amesema kuwa katika kipindi cha miaka 25, Tume hii imekuwa mstari wa mbele katika kushirikiana na Serikali na Wadau wengine …
Serikali Kujenga Barabara ya Mtwara-Masasi Kiwango cha Lami
Serikali Kujenga Barabara ya Mtwara-Masasi Kiwango cha Lami SERIKALI imesema itaanza ujenzi wa barabara ya Mtwara-Masasi KM 210 sehemu ya Mtwara-Nnivata yenye urefu wa KM 50 kwa kiwango cha lami mwezi Aprili mwaka huu, ili kurahisisha usafiri kwa wakazi wa maeneo hayo na kufungua fursa za kiuchumi katika mkoa huo na nchini jirani ya Msumbiji. Akizungumza na wananchi …
Ujenzi Daraja la Juu Ubungo Kuanza Mara Moja, Mkataba Wasainiwa
WAKALA wa Barabara nchini (TANROADS), umetiliana saini na kampuni ya M/S China Civil Engeneering Construction Cooperation kutoka China (CCECC) mkataba wa ujenzi wa barabara za Juu ‘Interchange’ katika makutano ya barabara ya Sam Najoma na Mandela Ubungo jijini Dar es salaam. Mkataba huo unamtaka Mkandarasi kampuni ya CCECC kutoka China kuanza ujenzi huo mara moja na ujenzi huo …