VETA-JKT Wawaasa Vijana Juu ya Dawa za Kulevya

 Paredi la ukakamavu na uzalendo likifanyika.    Gwaride likitoa heshima mbele ya mgeni rasmi.    Ndugu, wazazi na jamaa wa wanafunzi hao wakifuatilia kwa karibu shughuli hiyo.  wanafunzi wa shule hiyo wakifuatilia gwaride hilo.    Gwaride likiendelea.  wazazi wakiwa kwenye hafla hiyo.  Wimbo maalumu ukiimbwa.  Kiongozi wa gwaride hilo, Pelegia Nyunga akikabidhiwa zawadi na mgeni rasmi.  Francis Christopher akipewa zawadi. …

Wataalamu Kupelekwa Viwanja vya Ndege vya Kusini Kujiridhisha

  SERIKALI imesema itatuma wataalam wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA), kuangalia Maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya Ujenzi wa Viwanja vya ndege katika Wilaya ya Masasi na Tunduru ili kujiridhisha na kushauri Serikali namna ya kutekeleza miradi hiyo. Akizungumza mara baada ya kuonyeshwa maeneo hayo Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amesema pamoja na maeneo hayo …

Benki ya Standard Chartered Yakabidhi Vifaa vya Michezo kwa Coca Cola, Mwananchi

   Mkuu wa Wateja Binafsi wa Benki ya Standard Chartered, Michael Shio (wa kwanza kulia) akimkabidhi Mhariri Mtendaji wa Mwananchi Communication Limited, Bakari Machumu (wa kwanza kushoto) vifaa vya michezo kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Standard Chartered 2017 (Road to Anfield) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 100  tangu benki hiyo kuanzishwa mwaka 1917 yanayotarajiwa kuanza kutimua …

Jumia Travel Wazinduwa Huduma za Ndege kwa Ajili ya Wasafiri

   Ofisa Habari wa Kampuni ya Jumia Travel, Geofrey Kijangwa (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kampuni hiyo kuzindua huduma za ndege. Kushoto ni Meneja Mkazi wa Kampuni hiyo, Fatema Dharsee.   Mkutano na wanahabari ukiendelea.  Na Dotto Mwaibale KAMPUNI ya Jumia Travel imetangaza kuwa imezindua huduma za ndege kwa ajili ya wasafiri, …

Namaingo Business Agency, NHIF Wawakutanisha Wajasiriamali Tanga

MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wajasiriamali  na Taasisi ya Kibiashara ya Namaingo Bussiness Agency uliokuwa na lengo la kuwahamasisha kujiunga na bima ya Afya na kuhalalisha biashara zao.  MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wajasiriamali  na Taasisi ya Kibiashara ya Namaingo Bussiness …