Samani za Ndani Zamng’arisha Jacqueline Ntuyabaliwe Kwenye Forbes

KATIKATI ya foleni katika jiji la Dar es Salaam ndani ya gari nyeupe aina ya Mercedes S550, Jacqueline Ntuyabaliwe, mrembo wa miaka 38, macho yake yalikuwa yametulia katika simu yake ya mkononi. Alikuwa akiangalia seti ya samani za eneo la kulia chakula. Kwa bashasha, baada ya muda kidogo anatanua picha hiyo kisha ananisogezea simu yake ya mkononi kunionesha picha anayoiangalia. …

Wafanyabiashara 2000 Kunufaika na Njia Mpya ya Masoko

Na Ferdinand Shayo,Arusha. Zaidi ya Wafanyabiashara 2000 wataweza kunufaika na Mradi wa soko mkononi unaotoa taarifa za masoko na uwekezaji katika nchi za Afrika Mashariki. Kutokana na Changamoto ya Wafanyabiashara wa kati na wa wadogo kutokupata masoko mradi huo ulioko chini ya Shirika lisilikoua la kiserikali la Vision for Youth umeanza kutoa taarifa za masoko na fursa za uwekezaji. Mkurugenzi …

Steve Nyerere Afunguka Madai ya Chama Cha Mapinduzi Kudaiwa

  MSANII wa Filamu nchini Steve Nyerere, leo amekutana na Waandishi wa Habari, ambapo katika mkutano huo amekanusha kuwa Wasanii nchini hawakidai Chama Cha Mapinduzi fedha kwa ajili ya Mradi wa Mama Ongea na Mwanao, wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.           Katika Mkutano huo STEVE NYERERE amesisitiza kuwa kilichosemwa na WEMA SEPETU kuwa anaidai CCM fedha ni …

Mbunge Ritta Kabati Akabidhi Mifuko ya Saruji Ujenzi Ofisi ya CCM Ruaha

 Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Iringa Ritta Kabati kupitia chama cha mapinduzi (CCM) akiwa katika eneo la uwanja wa kujenga ofisi ya kata ya Ruaha.  Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Iringa Ritta Kabati kupitia chama cha mapinduzi (CCM) akibadilishana mawazo na katibu wa ccm manispaa ya Iringa Nuru Ngereja.  Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Iringa Ritta Kabati kupitia chama cha …

Rais Mstaafu Dk Kikwete Akabidhi Ripoti ya ‘Kizazi cha Elimu’

 Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya mazungumzo na Rais Alassane Ouattara. Kulia kwake ni Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Daniel Kablan Duncan.  Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiagana na Rais Alassane Ouattara baada ya mazungumzo yao   Ikulu ya Ivory Coast.  Rais MStaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Uongozi …