Naibu Waziri Injinia Ngonyani Aridhishwa na Kasi ya Utendaji wa TBA

NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani ameupongeza Wakala wa Majengo Nchini (TBA), kwa jitihada wanazozifanya katika kuongeza mapato na kununua vifaa vipya na kisasa vitakavyowezesha wakala huo kumudu ujenzi wa miradi mingi mikubwa kwa wakati. Akizungumza mara baada ya kukagua mradi wa nyumba 851 ulioko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na mabweni …

Waziri Dk Tizeba Kufungua Kongamano la Sera za Kilimo

  Enles Mbegalo WAZIRI wa Kilimo, Chakula, Mifugo na Uvuvi Dk. Charles Tizeba (pichani), anatarajia kufungua kongamano la siku  tatu la wadau wa sera za kilimo kesho jijini Dar es Salaam. Aidha, kongamano hilo litahudhuriwa na wadau zaidi ya 200 kutoka nchi mbalimbali.   Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa  Kampuni ya Agricultural Non State Actors Forum (ANSAF), Audax Rukonge, …

Prof Waziri Mbarawa Uso kwa Uso na Bodi ya AfDB

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa ameiomba Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo Africa (AfDB), kuendelea kuiunga mkono Tanzania katika mkakati wake wa kukuza uchumi kwa kuwekeza katika sekta ya miundombinu. Akizungumza na Wakurugenzi wa Bodi ya AfDB waliomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo Prof. Mbarawa ameishukuru benki hiyo kwa ushirikiano inaoipa Serikali ya …

RC Gambo Atembelea Nyumbani kwa Hayati Sokoine, Monduli

Na Imma Msumba, Monduli MKUU wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo wikiendi hii alipata nafasi ya kutembelea nyumbani kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani Hayati Edward Moringe Sokoine huko Monduli juu Wilayani Monduli. Mh;Gambo alipata wasaaa wa kuzungumza na wajane wa kiongozi huyo mkubwa wa Kitaifa aliyefariki kwa ajali ya gari mwaka 1984 eneo la Dumila huko Mkoani Morogoro, …