Rhino Cement Tanga Yasaidia Madawati 350 Shule ya Msingi Kange

Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Thobias Mwalapwa, amekishukuru kiwanda cha Saruji cha Rhino cha Tanga kwa msaada wake wa madawati 350 kwa shule ya Msingi ya Kange na mabenchi 10 kwa Zahanati iliyopo ndani ya kata hiyo. Akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano, Mwalapwa alisema msaada huo utaondosha kero ya wanafunzi darasani kukaa chini hivyo kutaka makampuni mengine kufuata nyayo za kiwanda hicho cha Rhino. …

Care International Tanzania Yawakutanisha Wadau wa Taasisi za Kifedha

  Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mh. Dkt Ashatu Kijaji akitoa hotuba yake wakati wa mkutano wa tatu wa kitaifa juu ya huduma za Kifedha kwa vikundi vya hisa, mjadala wa masuala ya kisera na kisheria katika uhusishwaji wa kifedha ulioandaliwa na Asasi ya Kiraia ya Care International Tanzania, Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.  Mkurugenzi …

Dangote ends Nigeria’s Cement Importation…!

FOLLOWING continuous increase in its production capacity, foremost cement manufacturer, Dangote Cement Plc has finally ended the era of Nigeria’s dependence on importation as the company exported 0.4 million tons of the product to other countries in 2016. In its 2016 full year audited results presented on the floor of the Nigerian Stock Exchange (NSE) in Lagos yesterday, Dangote Cement …

East African Ngwasuma Original Band Yawapagawisha Wakazi wa Kilimanjaro

  Kiongozi wa band ya  East African Ngwasuma Original Band Kingombe Blaise  wa pili kulia akiwa anafanya mambo katika ukumbi wa Filomena Bar uliopo Boma Ngo’mbe  mkoani Kilimanjaro  wakati wa onyesho lao walilofanya mwishoni mwa wiki hii. Waimbaji na wanenguaji wa bendi ya East African Ngwasuma Original Band wakiwa wanawapagawisha wakazi wa Bomang’ombe na mitaa yake.    Wanenguaji wa band …