G Nako Aweka Wazi, Napenda Sex

SIO kitu cha kushangaza tena ukikuta msichana ananyanyua simu na kumpigia kijana kumtaka kimapenzi. Wala haishangazi kukuta kijana ana wapenzi zaidi ya mmoja na pengine wote wanajuana kwenye mzunguko huo. Wala sio “surprise” tena kukuta vijana wamekaa kistoni, wakizungumza na kuchambua aina za mahusiano waliyonayo, kuanzia yale ya mbio fupi, mchepuko, friends with benefits na wakati mwingine mwenye wengi ndio …

Waziri Mbarawa Awataka TEMESA Kuongeza Ujuzi Utengenezaji wa Vivuko

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameutaka uongozi wa Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA) kushiriki kikamilifu shughuli za matengenezo ya vivuko ili kupata ujuzi wa ufungaji wa mifumo kutoka Kampuni zinazotengeneza vivuko vya Serikali. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kivuvko kipya cha MV Kazi, Bandarini jijini Dar …

Girl Guides Temeke Wamuenzi Mwasisi Wao Duniani

  Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika matembezi ya Maadhimisho ya Chama Cha Girl Guides Tanzania (TGGA) ya kumuenzi mwanzilishi wa chama hicho Duniami, Roden Barden Powell yaliyofanyika Manispaa ya Temeke Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa TGGA Tanzania, Profesa Martha Qorro na Kamishna Mkuu wa TGGA Tanzania, Symphorosa Hangi.    Wanafunzi wanachama wa …

Dk Tizeba ‘Akifungua’ Mkutano Mkuu wa Wadau wa Chai, Mufindi

  Wadau  wa  zao  la chai nchini  wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu  wa mkoa  wa Iringa Amina Masenza (mwenye hijabu ) aliyemwakilisha  waziri wa wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba katika  ufunguzi wa mkutano mkuu wa wadau wa chai nchini leo  katika ukumbi wa TRIT Ngwazi Mufindi, kulia kwake ni mwenyekiti wa bodi ya chai nchini Spika (mstaafu ) Anne Makinda, …

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kufungua Mkutano wa Tisa wa Wadau wa LAPF

 Meneja wa Takwimu Hadhari na Tathmini wa LAPF, Abubakar Ndwata (kulia), akizungumza kwenye mkutano huo. Kushoto ni Meneja Masoko la Mawasiliano wa LAPF, James Mlowe.  Mkutano na wanahabari ukiendelea. Wapiga picha wakichukua taarifa hiyo.   Dotto Mwaibale na Christina Mseja   WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufungua mkutano wa tisa wa wadau wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF jijini Arusha.   Akizungumza katika …