NMB Yamwaga Mikopo kwa Wanawake Wilaya ya Kisarawe
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Happyness William Seneda (katikati), akihutubia kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa viwanja vya Shule ya Msingi Chanzige wilayani Kisarawe jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Halmshauri ya Kisarawe, Khamis Dikupatile na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Pwani, Germana Mnga’alo. Mwenyekiti wa Halmshauri ya Kisarawe, Khamis Dikupatile, akipima shinikizo la damu …
Kampuni ya Serengeti Yazinduwa Bia Mpya ya Allsopps
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni ya bia ya Serengeti John Wanyancha, akifafanua jambo jijini Mwanza jana wakati wa uzinduzi wa bia mpya ya Allsopps, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela. Waandishi wa habari wakishuhudia uzinduzi wa bia chapa Allsopps ambayo inauzwa katika soko la Afrika mashariki. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela akiwa katika picha ya …
Tanzania ya Viwanda Inaitaji Wanawake Wachapakazi – EfG
Mjumbe wa Bodi ya EfG, akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Viwanja vya Soko la Temeke Sterio Dar es Salaam. Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Niall Morris akitoa hutuba yake kwenye maadhimisho hayo. Mkuu wa Dawati la Jinsia Kituo cha Polisi Chang’ombe, Mkaguzi wa Polisi, Meshack Mpwage, akihutubia kwa niaba ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke …
Bodaboda Arusha Waua Mtu Baada ya Kumfananisha
Na Vero Ignatus, Arusha MTU moja ambaye jina lake hajijafahamika ameuawa na wananchi wenye hasira kali huko maeneo ya kwa Mrombo Jijini Arusha, akidhaniwa kuwa ni mwizi wa pikipiki baada ya mtu huyo kupita na kufananishwa na waendesha pikipiki hao. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo (pichani juu) amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema kuwa majira ya saa saba mchana wananchi hao walimuona mtu …
Rais Magufuli Avutiwa na Utendaji wa Benki ya NMB
BENKI ya NMB imemwakikishia Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kuwa itaendelea kutumia mifumo ya kiteknolojia ili kuwawezesha wateja wa benki hiyo kutumia zaidi mifumo ya kieletroniki kuliko unaotumika zaidi kwa sasa wa malipo kwa kutumia pesa taslim. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa NMB, Ineke Bussemaker wakati wa ufunguzi wa Kituo cha Kibiashara cha Mtwara na kueleza kuwa nia …