KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imezindua huduma zake za simu kwa kutumia teknolojia ya 4G LTE Mkoani Tanga. Akizungumza katika uzinduzi huo, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela alisema viongozi na wananchi wa mkoa huo wamefarijika sana na tukio la TTCL kuzinduwa huduma za 4G LTE katika Mkoa na kuahidi kutoa ushirikiano kwa kampuni hiyo. “..Mimi …
Lema: Nitawakana Madiwani wa Chadema kwa Wananchi
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika shule katika viwanja vya Ngarenaro Jijini Arusha Leo. Wapili kutoka kushoto ni mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ,wakwanza kulia ni mbunge wa Simanjiro James OLemilya akifuatiwa na aliyeko kulia kwake ni Meya wa jiji la Arusha Kalisti Lazaro,akifuatiwa na Wema Sepetu,na wakwanza kulia ni mwenyekiti …
Hawahapa Wanawake 10 Watanzania Waliojipatia Umaarufu
KILA ifikapo Machi 8 dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake ambapo nchi na taasisi mbalimbali huwa na shughuli kadha wa kadha katika kusherehekea siku hii. Kwa kawaida shirika la Umoja wa Kimataifa Duniani, UN, huwa na kauli mbiu kwa kila mwaka katika kuadhimisha siku hii, kwa mfano mwaka huu inasema, “Wanawake Katika Ulimwengu wa Mabadiliko ya Kazi: Kufikia usawa wa …
Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii ya Bunge Yatembelea Pori Tengefu
Msafara wa Magari ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Malisili na Utaalii,yakpita katika maeneo mbalimbali ya Pori Tengefu la Loliono kwa ajili ya kujionea hai halisi ya mgogoro ulioo katika eneo hilo. Waziri wa Malisili na Utalii ambaye pia ni mjumbe wa kamati hiyo,Prof Jumanne Maghembe akiongozana na wataalamu katika ziara ya kamati hiyo. Mtafiti Mkuu wa …
Benki ya NMB, Mastercard yawaingiza wakulima kidijitali
BENKI ya NMB imesaini makubaliano na Kampuni ya Mastercard kufanya kazi kiushirikiano ili kuhakikisha inaiinua sekta ya kilimo nchini Tanzania kwa kuanzishwa kilimo mtandao ‘eKilimo’ kinaomuwezesha mkulima kupata taarifa za masoko na bidhaa kuondoa urasimu waliokuwa wakiupata wakulima hapo awali. Huduma hiyo ya ‘eKilimo’, ni jukwaa la kidigitali ambalo litamsaidia mkulima kupata uwazi na usalama wa bidhaa zake …
Tigo Yawazawadia Washindi wa Digital Changemakers USD 40,000
Mkurugenzi wa Kampuni ya simu za mkononi Tigo, Diego Gutierrez akiongoea na wanahabari. wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya dola elfu 20 za kimarekani kwa kila mmoja kwa washindi wawili wa shindano la Tigo Digital Changemakers leo, Tigo kushirikiana na taasisi ya Reach for change ndio waliondaa shindano hilo.Pembeni Meneja Programu wa Reach for Change Tanzania Josephine Msambichaka na Meneja Huduma za …